Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
WAMJW
Dkt. Benjamin L, MD
2 Aprili 2026, 16:07:10

Chanjo ya COVID kwenye utaratibu wa kawaida
Kwa sababu ya mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 unaoendelea, na uharaka wa kuwapatia chanjo watu wengi iwezekanavyo ndani ya muda mfupi, kwa sasa chanjo hii dhidi ya UVIKO-19 inaratibiwa tofauti na chanjo dhidi ya magonjwa mengine. Lakini baada ya ugonjwa kudhibitiwa, tunategema, chanjo hii itaingizwa kwenye utaratibu wa kawaida wa chanjo.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 16:07:10
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
​
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
