top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Benjamin L, MD

2 Aprili 2026, 16:07:21

G spoti ni nini?

G-spot, au eneo la Grafenberg, ni sehemu ndani ya uke wa mwanamke inayodhaniwa kuwa na msisimko mkubwa wa kingono. Imepewa jina kutoka kwa daktari wa kijerumani Ernst Grafenberg, ambaye alielezea uwepo wa eneo hili katika miaka ya 1950.


Baadhi ya watafiti na madaktari wanaamini kuwa ni sehemu yenye msisimko mkubwa wa kingono, lakini bado kuna mjadala kuhusu uwepo utendaji kazi wake.


Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu G spoti?

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu G spoti katika makala zifuatazo;

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 16:07:21

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

bottom of page