top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Salome A, MD
2 Aprili 2026, 16:17:51

Hisia za chuchu huongezeka kipindi cha kunyonyesha
Licha chuchu za mama anayenyonyesha kuwa na hisia kali zinazoweza amsha hisia za ngono zinazponyonywa na mtoto, njia hii si uchaguzi mzuri wa kuamsha hisia za kingono.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 16:17:51
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
​
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
bottom of page
