top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Dkt. BenjaminL, MD

2 Aprili 2026, 16:07:08

Levonorgestrel hutibu nini?

Levonorgestrel ni dawa ya progestin inayowekwa kwenye vitanzi na vidonge vya uzazi wa mpango. Vidonge vyenye dozi kubwa ya levonorgestrel hutumika kama uzazi wa mpango wa dharura.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 16:07:08

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

bottom of page