top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

26 Februari 2021 13:41:46

Kutanuka kwa ulimi

Kutanuka kwa ulimi

Kupanuka kwa ulimi au kuongezeka kwa ulimu kunaweza kusababisha ugumu katika kuongea, kula, kumeza na kulala.


Visababishi


  • Kuharibika kwa mishipa ya limfu. Kuharibika mishipa inayobeba lymph hupelekea ulimi kupata uvimbe kutokana na kujaa maji haya yenye chembe za ulinzi kwa jina la lymph

  • Mkusanyiko wa protini zisizo za kawaida katika tishu ambazo huzuia kazi ya kawaida ya ulimi. Hii inaweza kuwa sababu mojawapo inayosababishaulimi kuwa mkubwa. Mfano wa protini ni inayoweza kukusanyika kwenye tishu za ulimi ni amyloid, ambayo huupa ulimi muonekano wa kuwa na nundu

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

Imeboreshwa,

7 Februari 2022 19:36:38

Rejea za mada hii

bottom of page