top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

26 Februari 2021 14:08:43

Matatizo ya kutokwa na damu ukeni

Matatizo ya kutokwa na damu ukeni

Ni ile hali ya macho kuona madoa doa meusi au ya kijivu, kuona nyuzi ambazo ambazo hupotea ghafla mara unapoamua kuangalia ni nini unachokiona.


Matatizo mengi ya kuona madoa au uzi hutokea kutokana na uzee. Jinsi mtu anavyozeeka, majimaji yaliyo ndai ya jicho yenye jina la vitreous humor hupoteza uzito wake na kuwa majimaji mepesi pamoja kutengeneza madoa madogo sana ambayo huonwa na lenzi ya macho yako kama madoa au nyuzi ndogo.


Dalili hii pia inaweza kumaanisha kuwa kuna tatizo katika misuli ya macho, neva au sehemu inayo husiana na kuona katika ubongo .Tatizo hili linaweza kurekebishwa kwa miwani maalumu au upasuaji.

Visbabishi


  • Kwa ujumla kutokwa na damu ukeni ni sehemu ya mzunguko wa kawaida wa hedhi (hutokea kila mwezi)

  • Mabadiliko ya mfumo wa homoni (kuharibika kwa uwiano wa homoni kwenye damu) ambayo hupelekewa na msongo au mshituko wa mwili kutokana na hali ya mabadiliko ya mazingira au chakula

  • Kuwa na ujauzito. Wakati wa ujauzito (ni kawaida lakin sio kila wakati, hunategemeana na ujauzito wenyewe)

  • Kujamiana. Damu huweza kutoka baada ya kujamiana kutokana na majeraja ukeni

  • Kuharibika kwa mimba

  • Saratani ya shingo ya uzazi

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

Imeboreshwa,

7 Februari 2022 19:34:49

Rejea za mada hii

1. "Vaginal bleeding | Uterine Fibroids | MedlinePlus". Imechukuliwa 26.02.2021

2. Cheong Y, Cameron IT, Critchley HOD. Abnormal uterine bleeding. Br Med Bull. 2017 Sep 01;123(1):103-114. [PubMed]

3. Whitaker L, Critchley HO. Abnormal uterine bleeding. Best Pract Res Clin Obstet Gynaecol. 2016 Jul;34:54-65. [PMC free article] [PubMed]

bottom of page