Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
ULY CLINIC

6 Aprili 2026, 12:26:49
Emfisema
Emfizima au emphysema ni aina ya COPD inayosababisha matumizi makubwa ya misuli ya ziada kwa kupumua, hali endelevu ya kupumua kwa shida wakati wa shughuli, na kikohozi kisicho na makohozi mengi. Wagonjwa mara nyingi huitwa "Pinki Pafa" kwa sababu ya kupumua kwa midomo iliyokunja (mithiri ya kupiga mruzi) na kupumua haraka.
Dalili na ishara zinazohusiana na emfizima ni:
Ubluu wa pembezoni
Kupungua kwa hamu ya kula na kupungua uzito,
Kuhisi uchovu na udhaifu
Kifua cha pipa
Kuvimba kwa vidole ( vidolerungu)
Uchunguzi wa kimatibabu:
Usikilizaji wa kifua: Sauti za moyo husikika kwa mbali.
Ugongaji wa kifua: Hutoa sauti ya hewa nyingi kunaswa kwenye mapafu.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 15:59:23
Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini
​
[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]
Rejea za mada
ULY CLINIC
