top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

ULY CLINIC

Kupungua uzito
shahawa-zenye-damu-ulyclinic-compressor.

6 Aprili 2026, 12:27:06

Kupungua uzito

Neno kupungua uzito humaanisha hali ya kupungua kwa kiwango cha mafuta yaliyohifadhiwa chini ya ngozi.


Mara chache huweza kuchangiwa na kupungua kwa kiwango cha nyama, maji na madini mbalimbali mwilini. Kupungua uzito kunaweza kuwa kwa kukusudia kama vile kwa kufanya mazoezi, kujinyima kula au bila kukusudia, na hii huweza kuwa dhihirisho la ugonjwa Fulani unaoendelea ndani ya mwili.


Dalili zinazoweza kuambatana na kupungua uzito ni pamoja na kupoteza hamu ya kula uchovu au udhaifu wa mwili.


  • Kupunguza uzito ni kawaida baada ya ujauzito au kujifungua

  • Maambukizi ya virusi kama vile VVU

  • Matumizi ya baadhi ya dawa

  • Kuwa na saratani

  • Ugonjwa wa kisukari

  • Kufanya mazoezi ya mara kwa mara

  • Upungufu wa vyakula vya mafuta, wanga na protini

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 15:59:23

Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini

​

[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]

Rejea za mada

bottom of page