Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa ya kula kupita kiasi
7 Juni 2021 13:52:04
Kula kupita kiasi au kula chakula kingi ni tatizo la kiafya linalosababisha mtu kula chakula kingi zaidi ya kawaida. Tatizo la kula kupita kawaida husababishwa na matatizo mawili ya kiafya ambayo ni bulimia nevosa na binge eating (soma zaidi matatizo haya kwenye Makala zingine za ulyclinic)
Dawa za kuzuia usile kupita kiasi
Lisdexamfetamine dimesylate (Vyvanse)
Topiramate (Topamax)
Dawa zingineza
Dawa za kuondoa sonona zinaweza kutumika pia kutibu tatizo la kula kupita kiasi ambazo ni;
Amitriptyline
Amoxapine
Bupropion (wellbutrin)
Buspirone (BuSpar)
Citalopram (celexa)
Clomipramine (anafranil)
Diphenhydramine
Desipramine (norpramin)
Desvenlafaxine (pristiq, khedezla)
Doxepin
Duloxetine (cymbalta)
Escitalopram (lexapro)
Fluoxetine (prozac, sarafem, selfemra, prozac)
Fluvoxamine (luvox)
Imipramine (tofranil)
Levomilnacipran (fetzima)
Mirtazapine (remeron)
Nortriptyline (pamelor; aventyl is a discontinued brand in the us)
Paroxetine (paxil, paxil cr, pexeva)
Protriptyline (vivactil)
Sertraline (zoloft)
Trazodone extended release tablets (oleptro)
Trazodone, (desyrel)
Trimipramine (surmontil)
Venlafaxine (effexor)
Vilazodone (viibryd)
Vortioxetine (trintellix, inajulikana pia kama brintellix)
Dawa za kuzuia madhara yaliyotokana na kula kupita kiasi
Endapo umeshakula kupita kiasi, na unatapa dalili za kiungulia tumia dawa za kutibu kiungulia au maumivu ya chembe ya moyo ambazo zimeorodheshwa katika makala nyingine ndani ya tovuti ya ulyclinic