top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za kuimarisha mifupa kwa wagonjwa wa figo
8 Juni 2021 13:41:15
Dawa a kutibu udhaifu wa mifupa kutokana na figo kufeli ni dawa ambazo zinafanya mifupa iwe imara. Dawa hizo huwa na kiini hai cha vitamin D
Dawa za kufanya mifupa imara kwa wagonjwa wa figo
Calcitriol
Ergocalciferol
Wapi unapat maelezo zaidi kuhusu kufeli kwa figo?
Kupata maelezo zaidi kuhusu figo kufeli bofya kwenye linki hapa chini 1. https://www.ulyclinic.com/figo-kuferi-sugu-maana 2. https://www.ulyclinic.com/figo-kufeli
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 10:16:39
1. Drugs used to treat Renal Osteodystrophy. https://www.drugs.com/condition/renal-osteodystrophy.html. Imechukuliwa 08.06.2021
bottom of page