top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD

Dawa za kupoteza kumbukumbu zijazo

15 Juni 2021 13:17:34
Image-empty-state.png

Dawa za kupoteza kumbukumbu zijazo ni dawa zenye uwezo wa kumbukumbu ya mambo ambayo yameshatokea baada ya majeraha au au ugonjwa.


Dawa za kukufanya upoteze kumbukumbu zijazo ni zipi?


Kumbukumbu zijazo huashiria kumbukumbu ya mambo ambayo yameshatokea baada ya majeraha au au ugonjwa. Dawa za kupoteza kumbukumbu zijazo zipo kwenye makundi ya fentanyl, barbiturates, na benzodiazepines ambazo mifano yake ni;


 • Triazolam

 • Halothane

 • Isoflurane

 • Pentobarbital

 • Triazolam


Dawa zingine ni;

 • Alprazolam

 • Clonazepam

 • Diazepam

 • Flunitrazepam

 • Lorazepam

 • Midazolam

 • Nimetazepam

 • Nitrazepam

 • Temazepam

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 10:16:39
1.S L Mejo. Anterograde amnesia linked to benzodiazepines. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/1357612/. Imechukuliwa 14.06.2021

2. BNF 2020

3. Handbook of sign and symptoms FIFTH EDITION na Andrea Ann Borchers, PhD, RN. kurasa ya 67
bottom of page