top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za kutibu saratani ya shingo ya kizazi
7 Juni 2021 18:46:31
Saratani ya shingo ya kizazi imeonekana katika tafiti kusababishwa na virusi vya human papilloma (HPV) aina ya 16 na 18. Kirusi huyu huambukizwa kwa njia ya kujamiana.
Dawa za kutibu saratani ya shingo ya kizazi
Dawa zilizoidhinishwa na FDA kutibu saratani ya shingo ya kizazi ni;
Avastin (Bevacizumab)
Bevacizumab
Bleomycin Sulfate
Hycamtin (Topotecan Hydrochloride)
Keytruda (Pembrolizumab)
Mvasi (Bevacizumab)
Pembrolizumab
Topotecan Hydrochloride
Zirabev (Bevacizumab)
Aina nyingine ya matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi
Tiba mionzi
Tiba ya upasuaji
Matibabu ya cryotherapy
Chanjo ya kuzuia maambukizi ya HPV
Chanjo ya Cervarix (HPV Bivalent)
Gardasil (HPV Quadrivalent)
Gardasil 9 (HPV Nonavalent)
Recombinant (HPV) Bivalent Vaccine
Recombinant (HPV) Nonavalent Vaccine
Recombinant (HPV) Quadrivalent Vaccine
Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu saratani ya shingo ya kizazi
Kupata maelezo zaidi ingia kwa kubofya linki hapa.
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 10:16:39
1. CDC. Human Papillomavirus (HPV) Infection. https://www.cdc.gov/std/tg2015/hpv.htm. Imechukuliwa 06.06.2021
2. CDC. Genital HPV Infection - Fact Sheet. https://www.cdc.gov/std/hpv/stdfact-hpv.htm#. Imechukuliwa 06.06.2021
3. CDC. Human Papillomavirus (HPV) Vaccination & Cancer Prevention. https://www.cdc.gov/vaccines/vpd/hpv/index.html. Imechukuliwa 06.06.2021
4. National Cancer Institute. Drugs Approved for Cervical Cancer. https://www.cancer.gov/about-cancer/treatment/drugs/cervical. Imechukuliwa 06.06.2021
5. National Cancer Institute. Cervical Cancer—Patient Version. https://www.cancer.gov/types/cervical. Imechukuliwa 06.06.2021
6. National Cancer Institute. Drugs Approved for Head and Neck Cancer.
7. WHO. Human papillomavirus (HPV) and cervical cancer. https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/human-papillomavirus-(hpv)-and-cervical-cancer. Imechukuliwa 06.06.2021
bottom of page