Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za machozi
20 Juni 2021 19:04:04
Dawa za machozi katika makala hii imetumika kumaanisha dawa zinazotibu tatizo la macho makavu au macho yasitotoa machozi, kwa maana nyingine ni dawa za macho makavu.
Dawa ya machozi
Dawa za machozi zinafanya macho yako yawe na unyevu hivyo kuzuia kufanya yawe laini kwenye ukuta wan je. Hutumika sana kutibu tatizo la macho makavu kutokana na uzee, dawa za kukausha machozi, upasuajiwa mcho na hali mbalimbali za mazingira kama hali ya kupigwa na upeo pamoja na moshi. Dawa nyingi hupatikana maduka ya dawa pasipo kuandikiwa na daktari, baadhi ya dawa unapaswa kuandikiwa na daktari. Dawa zinaweza kuwa za kunywa, kuweka matone machoni au kupata machoni.
Orodha ya dawa za machozi
Orodha ya dawa za machozi ni;
Dexamethasone
Hydroxypropylmethylcellulose
Methylprednisolone acetate
Oxymetazoline
Prednisolone
Sodium cromoglycate
Triamcinolone Acetatonide
Glycerin/propylene glycol
Polyvinyl alcohol/povidone
Polyvinyl alcohol/polyethylene glycol
Povidone
Polyethylene glycol/propylene glycol
Polyvinyl alcohol
Dextran / methylcellulose
Dextran/glycerin/hydroxypropyl methylcellulose
Dextran /hydroxypropyl methylcellulose
Glycerin/propylene glycol
Dextran/ hydroxypropyl methylcellulose
Polyethylene glycol/propylene glycol
Polysorbate
White petrolatum/mineral oil
Hypromellose
Majina mengine ya dawa za machozi
Dawa ya macho makavu
Dawa ya kuongeza unyevu kwenye macho
Wapi unapata taarifa zaidi kuhusu machozi?
Soma kuhusu tatizo la 'macho makavu' ili kufahamu kwanini dawa za machozi zinatumia katika makala zingine ndani ya tovuti hii ya ULY CLINIC.