Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za wagonjwa waliofanyiwa dayalisis
8 Juni 2021 13:35:03
Dawa za wagonjwa waliofanyiwa dayalysis (dialysis) au wanaofanyiwa dayalisis hutumika kukabiliana na magonjwa ya figo, upungufu unaotokana na kuchujwa kwa damu n.k dawa hizi utaandikiwa na daktari wako kulingana na ushauri wa kitaalamu ambao atakupatia daktari wako. Miongoni mwa dawa wanazopatiwa wagonjwa waliofanyiwa dayalisis ni;
Vitamin na madini
Vitamin C
Vitamin B kompleksi,
Vitamin E
Alfa calcidol (Vitamin D)
Madini chuma
Dawa ya kuongeza damu
Homoni Erythropoietin
Dawa za kushusha shinikizo la damu na kupunguza maji mwilini
Atenolol
Metroprolol
Amlodipine
Doxazosin
Ramipril
Enalapril
Losartan
Candesartan
Ibersartan
Furosemide
Bumetanide
Dawa za kuyeyusha damu
Aspirin
Clopidogrel
Dipyridamole
Warfarin
Dawa zingine
Cinacalcet
Tinzaparin
Dawa za kuua vimelea kwenye mirija ya kutolea na kuingizia damu wakati wa dayalisis
Sodium bicarbonate
Allopurinol
Quinine sulphate
Dawa za maumivu kama parasetamo
Phosphorus binders kama calcium carbonate, calcium acetate, sevelamer hydrochloride, lanthanum carbonate na calcium acetate/magnesium carbonate
Folic asidi
Dawa ya kupaka za Antihistamine
Dawa za kulainisha haja kubwa