top of page

Faida za kiafya za mbegu

Karibu katika kurasa inayozungumzia kuhusu faida za kiafya za vyakula vya mbegu, matunda n.k. Sehemu hii utajifunza pia kuhusu namna ya kuzipata faida hizo kutoka kwenye mbegu mbalimbali.

Faida za kiafya za Mbegu ya chia

Faida za kiafya za Mbegu ya chia

Chia ni mbegu zinazotoka katika mmea unaoitwa Salvia hispanica, mmea huu hupatikana sehemu nyingi duniani. Mbegu hizi vimepata umaarufu sana maeneo mengi duniani kuwa ni mbegu zenye faida nyingi kiafya. Mbegu hizi ambazo huwa na uwezo wa kuyeyuka zinapowekwa kwenye majimaji huhitaji kutumiwa kwa muda mrefu kidogo ili kupata faida zake. Makala hii imezungumzia kuhusu faida za kiafya za mbegu hizi.

Faida za kiafya za mbegu ya boga

Faida za kiafya za mbegu ya boga

Kuna vitu ambavyo umekuwa ukividharau au kuona havifai kabisa unapokuwa unakula vyakula aina fulani haswa ikija kwenye ulaji wa mbegu au maganda ya matunda kama zabibu, maboga n.k. Kusoma makala hii itakusaidia kufahamu kiundani kuhusu faida za kiafya za mbegu za maboga na namna ya kutumia mbegu hizo ili kupata faida zake.

Faida za kiafya za mbegu ya tikiti

Faida za kiafya za mbegu ya tikiti

Kuna vitu ambavyo umekuwa ukividharau au kuona havifai kabisa unapokuwa unakula vyakula aina fulani haswa ikija kwenye ulaji wa mbegu au maganda ya matunda kama zabibu, maboga n.k. Kusoma makala hii itakusaidia kufahamu kiundani kuhusu faida za kiafya za mbegu za tikiti maji na namna ya kutumia mbegu hizo ili kupata faida zake.