Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter B, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022

Chenza
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Chenza
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Maji
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Chenza
Chenza lina kemikali muhimu inayoitwa Hesperidin na narirutin
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Chenza lenye gramu 100
Nishati = 47kcl
Jumla ya mafuta = 0.15g
Kabohaidreti = 12.02g
Sodiamu= 1mg
Sukari = 10g
Nyuzilishe = 1.7g
Protini = 0.85g
Maji = 87g
Kalishiamu= 6mg
Potashiamu =107mg
Madini chuma = 0.1mg
Madini yanayopatikana kwenye Chenza lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.14mg
Kalishiamu = 30mg
Kopa = 0.043mg
Magineziamu = 10mg
Fosifolasi = 21mg
Potashiamu = 177mg
Sodiamu = 1mg
Manganaizi =0.023mg
Zinki = 0.06mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Chenza lenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.087mg
Vitamini B2 = 0.030mg
Vitamini B3 = 0.636mg
Vitamini B5 = 0.151mg
Vitamini B6 =0.075mg
Choline = 14mg
Vitamini B9 = 24mcg
Vitamini C = 49mg
Vitamini E = 0.20mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Machenza
Kuimarisha kinga ya mwili
Kupunguza athari ya kupatwa na magonjwa ya moyo
Kuzuia/kupunguza athari ya kupatwa na kisukari
Kuimarisha afya ya ngozi
Kuimarisha afya ya mmemeng`enyo wa chakula
Kupunguza mafuta mabaya yasiyotakiwa mwilini
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:57:57
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Nutritional value of clementine. https://www.nutritionvalue.org/Clementines%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g&utm_source=share-by-url. Imechukuliwa 2/12/2021
He D, Shan Y, Wu Y, Liu G, Chen B, Yao S. Simultaneous determination of flavanones, hydroxycinnamic acids and alkaloids in citrus fruits by HPLC-DAD-ESI/MS. Food Chem. 2011 Jul 15;127(2):880-5. doi: 10.1016/j.foodchem.2010.12.109. Epub 2011 Jan 7. PMID: 23140749.
Stohs SJ, Preuss HG, Shara M. The safety of Citrus aurantium (bitter orange) and its primary protoalkaloid p-synephrine. Phytother Res PTR. 2011;25:1421–1428. doi: 10.1002/ptr.3490.