Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Mangwella S, MD
Jumatatu, 21 Machi 2022
Darabi
Darabi ni matunda madogo yanayoliwa yanayotokana na mti uzalishao maua familia ya Myrtaceae. Tunda hili huliwa baada ya kukomaa na kuwa nyekundu.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Darabi
Mafuta
Madini
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Darabi yenye gramu 100
Nishati = 25kcal
Mafuta = 0.3g
Maji = 93g
Kabohaidreti = 5.7g
Protini = 0.6g
Vitamini zinazopatikana kwenye Darabi yenye gramu 100
Vitamini A = 17mcg
Vitamini B1 = 0.02mg
Vitamini B2 = 0.03mg
Vitamini B3 = 0.8mg
Vitamini C =22.3mg
Madini yanayopatikana kwenye Darabi yenye gramu 100
Kalishiamu = 29mg
Kopa = 0.02mg
Madini Chuma = 0.07mg
Magineziamu = 5mg
Manganaizi = 0.029mg
Fosifolasi = 8mg
Potashiamu = 123mg
Zinki = 0.06mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Darabi
Hupunguza uzito
Hupunguza maumivu ya misuli na viungo
Huzuia ugonjwa wa fangasi
Huzuia kasi ya kuzeeka na kuimarisha seli za mwili
Huimarisha utendaji kazi wa figo.
Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
Hupunguza shunikizo la juu la Damu.
Huongeza uwezo wa kuona Pamoja na kuzuia ugonjwa wa mtoto wa jicho na upofu
Imeboreshwa,
21 Machi 2022 15:58:07
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Rose-apple. https://www.nutritionvalue.org/Rose-apples%2C_raw_nutritional_value.html. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.
Block G, Patterson B, Subar A. Fruit, vegetables, and cancer prevention: a review of the epidemiological evidence. Nutr Cancer. 1992;18:1–29. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC442131/. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.
Malin AS, Qi D, Shu XO, Gao YT, Friedmann JM, Jin F, Zheng W. Intake of fruits, vegetables and selected micronutrients in relation to the risk of breast cancer. Int J Cancer. 2003 Jun 20;105(3):413-8. doi: 10.1002/ijc.11088. PMID: 12704679; PMCID: PMC1780272. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/12704679/. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.