Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Sospter M, MD
Jumatatu, 21 Machi 2022
Kiazi kitamu
Kiazi kitamu ni zao la mizizi litokanalo na mimea inayopatikana kwenye familia ya Convolvulaceae. Kiazi kitamu kinafaida nyingi kwa afya pia ni rahisi kupatikana.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Kiazi Kitamu
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu kutoka kwenye Kiazi Kitamu
Kiazi kitamu kin kemikali muhimu ambayo ni phenolic Acid
Viinilishe vinavyopatikana kwenye KiazI Kitamu chenye gramu 100
Nishati = 76kcal
Mafuta = 0.1g
Maji = 80.3g
Kabohaidreti = 18g
Sukari = 5.7g
Nyuzilishe = 2.5g
Protini = 1.4g
Vitamini zinazopatikana kwenye Kiazi chenye gramu 100
Vitamini A = 787mcg
Vitamini B1 = 0.56mg
Vitamini B2 = 0.47mg
Vitamini B3 = 0.538mg
Viatmini B5 = 0.581mg
Vitamini B6 =0.165mg
Vitamini B9 = 6mcg
Vitamini C =12.8mg
Vitamini E =0.94mg
Vitamini K = 2.1mg
Madini yanayopatikana kwenye Kiazi chenye gramu 100
Kalishiamu = 27mg
Kopa = 0.09mg
Madini Chuma = 0.72mg
Magineziamu = 18mg
Manganaizi = 0.266mg
Fosifolasi = 32mg
Potashiamu = 230mg
Sodiamu = 27mg
Zinki = 0.2mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Viazi Vitamu
Huimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Huzuia aina mbalimbali za kansa
Huboresha afya ya macho na kuongeza uwezo wa kuona
Huimarisha utendaji kazi na kuongeza ufanisi wa ubongo
Huimarisha kinga ya mwili
Huimarisha utendaji kazi wa kongosho , kuweka msawazo wa sukari kwenye damu na kuzuia ugonjwa wa kisukari
Hurutubisha ngozi
Imeboreshwa,
21 Machi 2022 16:19:07
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Sweet_potato . https://www.nutritionvalue.org/Sweet_potato%2C_without_skin%2C_boiled%2C_cooked_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
Brown, C. R. (2005). Antioxidants in potato. American Journal of Potato Research, 82(2), 163–172. 10.1007/BF02853654. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6593376/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
Wang S, Nie S, Zhu F. Chemical constituents and health effects of sweet potato. Food Res Int. 2016 Nov;89(Pt 1):90-116. doi: 10.1016/j.foodres.2016.08.032. Epub 2016 Aug 27. PMID: 28460992. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/28460992/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
Bovell-Benjamin AC. Sweet potato: a review of its past, present, and future role in human nutrition. Adv Food Nutr Res. 2007;52:1-59. doi: 10.1016/S1043-4526(06)52001-7. PMID: 17425943. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/17425943/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.