Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Jumatatu, 21 Machi 2022
Kiazi sukari
Kiazi sukari hufahamika kama biti ni zao la aridhini litokanalo na mizizi kutoka kundi la beta vulgaris. Zao hutumika kama kama chakula baada ya kuandaliwa vizuri ambapo pia huweza kutumika kama sharubati.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Kiazi Sukari
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Maji
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Kiazi sukari chenye gramu 100
Nishati = 43kcal
Mafuta = 0.2g
Maji = 87.58g
Kabohaidreti = 9.6g
Sukari = 6.8g
Nyuzilishe = 2.8g
Protini = 1.6g
Vitamini zinazopatikana kwenye Kiazi Sukari chenye gramu 100
Vitamini A = 2mcg
Vitamini B1 = 0.031mg
Vitamini B2 = 0.040mg
Vitamini B3 = 1.334mg
Viatmini B5 = 0.155mg
Vitamini B6 = 0.067mg
Vitamini B9 = 109mcg
Vitamini C = 4.9mg
Vitamini E = 0.04mg
Vitamini K = 0.2mg
Madini yanayopatikana kwenye Kiazi Sukari chenye gramu 100
Kalishiamu = 16mg
Kopa = 0.07mg
Madini Chuma = 0.08mg
Magineziamu = 23mg
Manganaizi = 0.329mg
Fosifolasi = 40mg
Potashiamu = 325mg
Sodiamu = 78mg
Zinki = 0.35mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Kiazi Sukari
Hurekebisha shinikizo la damu
Husaidia mjongea wa viungo (wanamichezo wanashauriwa kula kiazisukari masaa 2 mpaka 3 kabla ya michezo kwa matokeo bora)
Huongeza kinga ya mwili
Huimarisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula
Huimarisha afya ya Ubongo pamoja na moyo
Husaidia kkupunguza kasi ya uginjwa wa kusahasahau
Hupunguza kasi ya kupatwa/kushambuliwa na kansa za aina mbalimbali
Husaidia kupunguza uzito usiotakiwa mwilini
Imeboreshwa,
21 Machi 2022 19:39:02
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Beets . https://www.nutritionvalue.org/Beets%2C_drained%2C_boiled%2C_cooked_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 4 February 2022.
Clifford T, Howatson G, West DJ, Stevenson EJ. The potential benefits of red beetroot supplementation in health and disease. Nutrients. 2015 Apr 14;7(4):2801-22. doi: 10.3390/nu7042801. PMID: 25875121; PMCID: PMC4425174. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/25875121/. Imechukuliwa tarehe 4 2022.
Chen L, Zhu Y, Hu Z, Wu S, Jin C. Beetroot as a functional food with huge health benefits: Antioxidant, antitumor, physical function, and chronic metabolomics activity. Food Sci Nutr. 2021 Sep 9;9(11):6406-6420. doi: 10.1002/fsn3.2577. PMID: 34760270; PMCID: PMC8565237. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/34760270/. Imechukuliwa tarehe 4 February 2022.
Beetroot as a functional food with huge health benefits: Antioxidant, antitumor, physical function, and chronic metabolomics activity. Written by Liping Chen, Yuankang Zhu, Chengtao Jin et al. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC8565237/. Imechukuliwa tarehe 4 February 2022.