top of page

Mwandishi:

Mhariri:

ULY CLINIC

Dkt. Charles W, MD

Alhamisi, 16 Desemba 2021

Kinywaji cha malta
Kinywaji cha malta

Ni kinywaji kilichopatikana kutoka katika punje za shayiri iliyoteswa na kukaushwa kwa kuchoma.


Virutubisho vya malta


Malta huwa na virutubisho vifuatavyo;


  • Protini

  • Vitamini B (hasa B9 aina ya folate)

  • Chuma

  • Zinki

  • Kalisi


Kina nani wanaweza kutumia kinywaji cha malta?


Kwa sababu inarutubisha na kutia nguvu, Malta inapendekezwa kwa wanariadha, watoto, wajawazito na akina mama wanaonyonyesha.

Imeboreshwa,
16 Desemba 2021 18:55:39
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
 

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii

  1. Trius-Soler, Marta et al. “Effects of the Non-Alcoholic Fraction of Beer on Abdominal Fat, Osteoporosis, and Body Hydration in Women.” Molecules (Basel, Switzerland) vol. 25,17 3910. 27 Aug. 2020, doi:10.3390/molecules25173910

bottom of page