Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Charles W, MD
Dkt. Mangwella S, MD
Jumamosi, 27 Novemba 2021

Maziwa ya mama
Maziwa ya mama huwa na virutubishi vingi, kinga na kampaundi mbalimbali zinazohitajika kwa ukuaji wa mtoto na maendeleo yake ya ukuaji.
Tafiti nyingi zimefanyika kuangalia vilivyomo kwenye maziwa ya mama na zimeongeza ufahamu zaidi kuhusu maziwa hayo, hata hivyo bado kuna mambo mengi yasiyofahamika kuhusu maziwa ya mama na hivyo tafiti nyingi zinapaswa ufanyika.
Maziwa ya mama hubadilikatoka vilivyomo ndani yake toka siku ya kwanza mama anapojifungua. Maziwa ya awali huwa na vitamini E na zinki kwa wingi pamoja na antibodi zinazotoa ulinzi kwa mtoto dhidi ya vimelea mbalimbali.
Vilivyomo kwenye maziwa ya mama
Mililita 100 za maziwa ya mama
Nishati – 70kalori
Mafuta --4.4 g
Mafuta yaliyoshamiri 2 g
Lehemu -- 14mg
Sodium -- 17mg
Potassium -- 51mg
Wanga -- 7g
Nyuzilishe – 0
Sukari -- 7g
Protini -- 1 g
Vitamin C -- 8mg
Calcium -- 3mg
Chuma – omg
Vitamin D – 0mg
Vitamin B6 – 0mg
Cobalamin – 1mg
Magnesium – 0mg
Glasi moja sawa na mililita 246 za maziwa
Nishati – 171 kalori
Mafuta kwa ujumla -- 11g
Mafuta yaliyoshamiri -- 4.9g
Lehemu -- 34.4mg
Sodium -- 41.8mg
Potassium -- 125.5mg
Wanga -- 17g
Nyuzilishe -- 0g
Sukari -- 17g
Protini -- 2.5g
Vitamin C –49.2mg
Calcium – 17.22mg
Chuma -- 0mg
Vitamin D – 2.46mg
Vitamin B6 –0mg
Cobalamin –2.46mg
Magnesium –2.46mg
Imeboreshwa,
27 Novemba 2021 10:24:58
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Ballard, Olivia, and Ardythe L Morrow. “Human milk composition: nutrients and bioactive factors.” Pediatric clinics of North America vol. 60,1 (2013): 49-74. doi:10.1016/j.pcl.2012.10.002