Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Jumapili, 27 Machi 2022

Rhubarb
Rhubabi ni majani yenye uchachu yanayoliwa yanayotokana na mmea jamii ya Rheum. Rhubabi hutumika kama chakula baada ya kupikwa kwa afya bora ya mtumiaji.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Rhubab
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Rhubab
Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Rhubabi ni Oxalic Acid.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Rhubab yenye gramu 100
Nishati = 21kcal
Mafuta = 0.2g
Maji = 93.6g
Kabohaidreti = 4.5g
Sukari = 1.1g
Nyuzilishe = 1.8g
Protini = 0.9g
Vitamini zinazopatikana kwenye Rhubabiyenye gramu 100
Vitamini A = 5mcg
Vitamini B1 = 0.02mg
Vitamini B2 = 0.03mg
Vitamini B3 = 0.3mg
Viatmini B5 = 0.085mg
Vitamini B6 = 0.024mg
Vitamini B9 = 7mcg
Vitamini C = 8mg
Vitamini E =0.27mg
Vitamini K = 29.3mg
Madini yanayopatikana kwenye Rhubab yenye gramu 100
Kalishiamu = 86mg
Kopa = 0.02mg
Madini Chuma = 0.22mg
Magineziamu = 12mg
Manganaizi = 0.196mg
Fosifolasi = 14mg
Potashiamu = 288mg
Sodiamu = 4mg
Zinki = 0.1mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Rhubab
Kupunguza uzito
Kupunguza mafuta yasiyohitajika mwili (Rehemu)
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuimarisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula
Kuzuia vidonda vya tumbo
Kulainisha choo
Kuongeza uwezo wa kuona
Kuzuia uvimbe kwenye kizazi (wanawake)
Kuzuia aina mbalimbali za saratani
Imeboreshwa,
27 Machi 2022 16:00:57
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Rhubarb. https://www.nutritionvalue.org/Rhubarb%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.
Drugs and Lactation Database (LactMed) [Internet]. Bethesda (MD): National Library of Medicine (US); 2006–. Rhubarb. 2021 May 17. PMID: 30000922. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/30000922/. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.
. Yuan JF, Ji HH, Qiu ZJ, Wang DH. ECV304/C6 coculture model of the BBB coupled with LC–MS analysis for drug screening from Rhubarb extract(Article) Med Chem Res. 2016;25(9):1935–1944. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC7448319/Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.