Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Jumapili, 27 Machi 2022
Rutabaga
Rutabaga ni mbogamboga zitokanazo na mizizi kutoka familia ya Brassica Napus.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Rutabaga
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Rutabaga
Rutabaga lina kemikali muhimu iitwayo polyphenols
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Rutabaga yenye gramu 100
Nishati = 37kcal
Mafuta = 0.2g
Maji = 89.43g
Kabohaidreti = 8.6g
Sukari = 4.5g
Nyuzilishe = 2.3g
Protini = 1.1g
Vitamini zinazopatikana kwenye Rutabaga yenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.09mg
Vitamini B2 = 0.04mg
Vitamini B3 = 0.7mg
Viatmini B5 = 0.160mg
Vitamini B6 = 0.1mg
Vitamini B9 = 21mcg
Vitamini C = 25mg
Vitamini E =0.3mg
Vitamini K = 0.3mg
Madini yanayopatikana kwenye Rutabaga yenye gramu 100
Kalishiamu = 43mg
Kopa = 0.03mg
Madini Chuma = 0.44mg
Magineziamu = 20mg
Manganaizi = 0.131mg
Fosifolasi = 53mg
Potashiamu = 305mg
Sodiamu = 12mg
Zinki = 0.24mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Rutabaga
Kusaidia kwnyw ufonzwaji wa madini ya chuma mwilini
Kuimarisha kinga ya mwili
Kupunguza kasi ya kuzeeka
Kuboresha utendaji kazi wa utumbo
Kusaidia kupunguza uzito
Kuimarisha moyo na kupunguza tatizo la shinikizo la juu la Damu
Imeboreshwa,
27 Machi 2022 17:14:52
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Rutabagas. https://www.nutritionvalue.org/Rutabagas%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 11 January 2022.
Pasko P, Bukowska-Strakova K, Gdula-Argasinska J, Tyszka-Czochara M. Rutabaga (Brassica napus L. var. napobrassica) seeds, roots, and sprouts: a novel kind of food with antioxidant properties and proapoptotic potential in Hep G2 hepatoma cell line. J Med Food. 2013 Aug;16(8):749-59. doi: 10.1089/jmf.2012.0250. PMID: 23957358. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/23957358/. Imechukuliwa tarehe 11 January 2022.
Liu R. H. Dietary bioactive compounds and their health implications. Journal of Food Science. 2013;78(1):A18–A25. doi: 10.1111/1750-3841.12101. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC7770496/. Imechukuliwa tarehe 11 January 2022.