Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Sospeter M, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022

Tipisi
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Tipisi
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu za kwenye Tipisi
Tunda la Nekitarin lina kemikali muhimu ziitwazo Lutien na Zeaxanthin
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Netikarini
Nishati = 44kcl
Jumla ya mafuta = 0.3g
Kabohaidreti = 11mg
Sukari = 7.9g
Nyuzilishe = 1.7g
Protini = 1.1g
Maji = 87.59g
Madini yanayopatikana kwenye gramu 100 za Tipisi
Madini chuma = 0.28mg
Kalishiamu = 6mg
Magineziamu = 9mg
Fosifolasi = 26mg
Potashiamu = 201mg
Zinki = 0.17mg
Manganaizi = 0.054mg
Vitamini zinazopatikana kwenye gramu 100 za Tipisi
Vitamin A = 17mcg
Vitamini B1 = 0.034mg
Vitamini B2 = 0.027mg
Vitamini B3 = 1.125mg
Vitamini B5 = 0.185mg
Vitamini B6 =0.025mg
Vitamini B9 = 5mcg
Vitamini C = 4mg
Vitamini E = 0.77mg
Vitamini K = 2.2mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Tipisi
Husaidia kuimarisha afya ya macho na kuongeza uwezo wa kuona.
Huzuia upungufu wa damu
Huimarisha kinga ya mwili
Hupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari ugonjwa wa moyo na magojwa ya mfumo wa fahamu
Hupunguza hatari ya kupatwa saratani za aina mbalimbali
Husaidia kupunguza uzito
Huimarisha afya ya ngozi
Husaidia ukuaji bora wa mtoto tumboni
Majina mengine
Tipisi hufahamika kwa kiingereza kama Nectarine
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:56:47
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Nectarines nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Nectarines%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 28.12.2021.
Gil MI, Tomás-Barberán FA, Hess-Pierce B, Kader AA. Antioxidant capacities, phenolic compounds, carotenoids, and vitamin C contents of nectarine, peach, and plum cultivars from California. J Agric Food Chem. 2002 Aug 14;50(17):4976-82. doi: 10.1021/jf020136b. PMID: 12166993. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/12166993/. Imechukuliwa 28.12. 2021.
Wang H, Cao G, Prior RL. Total antioxidant capacity of fruits. J Agric Food Chem. 1996;44:701–705. doi: 10.1021/jf950579y. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6706499/. Imechukuliwa 28. 12.2021.