Mwandishi:
Mhariri:
Dlt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter B, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022
Kantalupu
Kantalupu ni matunda madogo mithili ya chungwa yenye rangi ya kahawia, tunda hili huwa kwenye familia ya Cucumis melo.
Huwa na vitamini A kwa wingi na potashiamu muhimu kwa afya ya macho, mishipa ya damu na moyo.
Viinirishe vinavyopatikana kwenye Kantalupu
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Kantalupu
Tunda la Tufaha lina kemikali muhimu inayoitwa
Viinirishe vinavyopatikana kwenye Kantalupu
Nishati = 34kcl
Jumla ya mafuta = 0.19g
Kabohaidreti = 8.16mg
Sukari = 7.9g
Nyuzilishe = 0.9g
Protini = 0.84g
Maji = 90.2g
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Kantalupu lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.38mg
Kalishiamu = 9mg
Magineziamu = 13mg
Fosifolasi = 17mg
Potashiamu =157mg
Sodiamu = 30mg
Zinki = 0.44mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Kantalupu lenye gramu 100
Vitamin A = 232mcg
Vitamini B1 = 0.049mg
Vitamini B2 = 0.027mg
Vitamini B3 = 0.694mg
Vitamini B6 =0.040mg
Vitamini B9 = 14mcg
Vitamini C = 10.9mg
Vitamini E = 0.05mg
Vitamini K = 2.7mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Kantalupu
Kuboresha Afya ya macho pamoja na kusaidia kuona.
Afya ya macho pamoja na kusaidia kuona.
Kuimarisha kinga ya mwili na kuboresha Afya ya ngozi
Kusaidia utengenezwaji wa chembechembe nyekundu za damu.
Kusaidia kuzuia na kupunguza hali ya kupatwa na ugonjwa Wa pumu na saratani za aina mbalimbali
Kuboresha utendaji kazi wa ubongo na kusaidia kurejesha kumbukumbu.
Kuweka msawazo Wa maji mwilini ikiwamo pia kusaidia mmeng'enyo Wa chakula.
Kurekebisha kiwango cha sukari mwilini
Kuboresha utendaji kazi Wa figo pamoja na kurekebisha shinikio la Damu.
Imeboreshwa,
22 Januari 2022 17:52:04
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Mallek-Ayadi S, Bahloul N, Kechaou N. Characterization, phenolic compounds and functional properties of Cucumis melo L. peels. Food Chem. 2017 Apr 15;221:1691-1697. doi: 10.1016/j.foodchem.2016.10.117. Epub 2016 Oct 26. PMID: 27979149.
Cantaloupe nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Cantaloupe%2C_raw_63109010_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 15 December 2021.
Ismail H.I., Chan K.W., Mariod A.A., Ismail M. Phenolic content and antioxidant activity of cantaloupe (Cucumis melo) methanolic extracts. Food Chem. 2010;119:643–647. doi: 10.1016/j.foodchem.2009.07.023.