Plaki ni jeraha lililoinuka juu ya usawa wa ngozi lenye eneo kubwa zaidi ya urefu wake na mipaka yake imejitenga vema. Jeraha ya namna hii huonekana kwa wagonjwa wa soriasis.