Naomba kujua kuhusu huduma zenu zinahusiana na nini maana nimekuwa nikisikia kuhusu uly clinic katika mtandao wa facebook, instagram na youtube
top of page
To see this working, head to your live site.
je inahusiana nn clinic hii
je inahusiana nn clinic hii
2 comments
Like
Maoni (2)
bottom of page
ndugu novath, dr Benja amekujibu kwa kiasi kidogo tu, Ukiwa naapplication ya ulyclinic utaweza kupata huduma zifuatazo mbali na mambo ya elimu ya afya kwa kutumia simu ya mkononi tu.
1.Kuomba huduma za afya kwa daktari yeyote yule mkoa wowote ule na kupata tiba
2.Kuweka appointment na daktari wako aliye kwenye hospitali au clinic zilizojiunga kutumia mfumo huu
3. Kuulizia huduma za dawa ikiwa pamoja na bei ya dawa na upatikanaji wake katika duka la dawa lililokaribu nawe
4. Kuulizia na kujua bei ya vipimo vinavyofanyika katika maabara au hospitali zilizojiunga kwenye mfumo wa uly clinic
5.kuomba huduma ya nesi nyumbani kama unahitaji huduma hizo
6. Kuandikiwa cheti cha dawa na daktari endapo utahitajika kuwa na cheti hicho ili kupata dawa katika maduka ya dawa(jua kwamba kuna
7.Huduma zingine za ushauri na tiba kutoka kwa daktari wako
Huduma hizi hutolewa bure isipokuwa huduma ya kupata tiba kutoka kwa daktari au kuandikiwa cheti cha dawa
'ULY CLINC' ni application na tovuti inayohuska na mambo ya elimu na tiba mtandaoni, unapokuwa unajihisi kuumwa au kuhitaji kununua dawa sahihi kutokana na tatizo lako au kupata elimu kuhusu hali yako ya afya ikiwa pamoja na mambo ya chakula, mazoezi, visababishi, vihatarishi au kinga dhidi ya magonjwa fulani, kujua ufanyaji kazi wa dawa au mwingiliano wa dawa na dawa au chakula unaweza kuingia katika tovuti yetu au kudownload application ya "uly clinic "kupata mahitaji hayo. Huduma nyingi zinazotolewa kwa mteja hazilipiwi gharama yoyote ile.Maelezo nilokupa ni machache kuliko mambo ambayo yanafanyika uly clinic. Ingia katika website yetu ujue zaidi kwa kubonyeza hapa https://ulyclinic.com au download app kwa kubonyeza hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ulyclinic.ulyclinic&hl=en