Jamani mimi naitwa.......... nilipata mimba ila wakati wa mimba nilikua na lala vizuri sana ila baada ya kujifungua sipati kabisa usingizi na wala sisikii usingiz sijui hili ni tatizo gani na je linatibika
top of page
To see this working, head to your live site.
Kukosa uzingizi| ULY CLINIC
Kukosa uzingizi| ULY CLINIC
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Pole sana ..... kwa tatizo hili. Kukosa usingizi (insomnia) ni tatizo endelevu linalosababisha mtu kushindwa kuanza kusinzia, kutodumu kwenye usingizi ama vyote viwili licha ya kupata fursa ya kulala ipasavyo.  Kwa kukosa usingizi, mtu huyu kwa kawaida huamka hajihisi kuwa mpya , hali hii inasababisha kupunguza uwezo wa kufanya kazi wakati wa mchana.kukosa usingizi hakumalizi nguvu tu na hali yako, bali hudhuru afya na ubora wa maisha. Soma zaidi kwa kubonyeza hapa au bonyeza hapa kusoma kuhusu matibabu ya nyumbani ya kukosa uzingizi.
Wasiliana na daktari wako ili atambue ni nini shida yako baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kutumia namba za simu chini ya tovuti hii.