Mtu anapokojoa mkojo wa mwisho ukawa na maji meupe yenye utelezi tatizo ni nini?
top of page
To see this working, head to your live site.
Mkojo wenye utelezi mwishoni| ULY CLINIC
Mkojo wenye utelezi mwishoni| ULY CLINIC
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Tatizo hili hufahamika pia kama Kuvuja kwa shahawa. Sababu mbalimbali zinaweza kuchangia mfano uharibifu kwenye mfumo wa neva, maambukizi kwenye tezi dume(prostate) ndoto mbivu, maambukizi ya magonjwa ya zinaa, saratani ya tezi dume.
Ili kujua zaidi kuhusu tatizo lako ni vema ukawasiliana na daktari wako kwa uchunguzi zaidi na ushauri.
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic popote ulipo kwa ushauri na tiba kwa kutumia namba za simu chini ya tovuti hii.