top of page
To see this working, head to your live site.
Edited: May 03, 2020
Ni dawa gani kwa sasa inamatumaini katika matibabu ya COVID19 AU CORONA?
Ni dawa gani kwa sasa inamatumaini katika matibabu ya COVID19 AU CORONA?
2 answers0 replies
Like
Maoni (2)
bottom of page
Dawa zingine ambazo zimeonekana kwenye tafiti kuwa zinauwezo wa kutibu ugonjwa wa COVID-19 ni Ivermectin, Zinc na Azithromycin
Soma zaidi kuhusu dawa hizo kwenye makala kwa kubonyeza hapa https://www.ulyclinic.com/vidokezo-vya-kiafya/ivermectin-imethibitishwa-kutibu-covid-19
Utangulizi
Remdesivir ni dawa jamii ya antivairo yenye uwanja mpana katika matibabu ya virusi mbalimbali vya RNA. Kwa mara ya kwanza dawa hii iliruhusiwa na shirika la dawa la marekani (FDA) kutumika kwenye matibabu ya ugonjwa wa virusi vya ebola na Marburg. Licha ya dawa hii kushindwa kutibu magonjwa hayo, kwa sasa shirika la dawa duniani na kampuni ya Gilead linafanya uchunguzi wa dawa hii dhidi ya matibabu ya virusi vya corona au ugonjwa wa COVID-19
Matumizi ya dawa
Dawa hii imekuwa ikitumika kwenye matibabu ya ebola toka mwaka 2013 huko mangharibi ya Afrika. Mwaka 2019 maafisa afya wa Kongo walitangaza kuwa dawa hii ina ufanisi kidogo sana ukilinganisha na dawa za mAb114 na REGN-EB3 hivyo ilisimamishwa kutumika.
Soma zaidi kwa kubonyeza hapa