top of page
To see this working, head to your live site.
Nikijisaidia haja kubwa baada ya kumaliza hutoka damu muda mwengine haja kubwa huwa na mchirizi wa damu. Ni nini kisababishi?
Nikijisaidia haja kubwa baada ya kumaliza hutoka damu muda mwengine haja kubwa huwa na mchirizi wa damu. Ni nini kisababishi?
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Tatizo la damu kwenye kinyesi huweza kusababishwa na hali au magonjwa mbalimbali ikiwepo Bawasili(bonyeza kusoma), Kuhara, saratani ya utumbo mpana na matatizo mengine.
Mtu anaweza kuwa na damu inayoonekana nyekundu, nyeusi, au nyekundu iliyoganda. Lakini pia mtu anaweza kutoa mabonge ya damu wakati wa kujisaidia bila kutoa kinyesi. Dalili hizi mbalimbali husababishwa na sababu aina tofauti tofauti
Kutokwa na damu nyeusi wakati wa kujisaidia kunaweza kumaanisha damu imevuja mfumo wa juu wa tumbo kuanzia kwenye maeneo ya mrija wa esofagasi, tumbo la chakula, utumbo mwembamba na sehemu ya utumbo mpana. Hata hivyo endapo mtu anatoka kiasi kukubwa cha damu kwenye maeneo haya damu nyekundu inaweza kuonekana kwenye kinyesi ikiwa pamoja na mchanganyiko w akinyesi cheusi.
Soma zaidi makala hii kwa kubonyeza hapa