Kuna hali na magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababisha vipele sehemu za siri, hivyo matibabu hutegemea ni nini kisababishi. Baadhi ya visababishi huwa ni sababu za kurithi, magonjwa ya zinaa, magonjwa ya ngozi, matumizi ya dawa aina fulani, mzio kwenye chakula au mafuta na sababu zisizofahamika. Matibabu huhusisha kubadili mtindo wa maidha, matumizi ya dawa, upasuaji n.k.
Baadhi ya visababishi na tiba ya vipele sehemu za siri vimeelezewa hapa
Makala zingine
Unaweza kupenda kusoma makala zingine pia zinazofuata;
Wapi utapata msaada zaidi?
ULY Clinic inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba inayoendana na wewe kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya kitufe cha 'Pata tiba' au 'Mawasilian yetu' chini ya tovuti hii.