top of page

Magonjwa

Public·783 members

Licheni

Licheni ni sehemu ya ngozi iliyobadilika kuwa ngumu na nene, hutokea sana kutokana na kujukuna mara kwa mara kwenye eneo leny izima.


Baadhi ya mifano inayofanana na licheni ni jiwe au mti uliochanusha magome magumu yaliyokauka katika shina lake.

1 View

Kuhusu kundi

Sehemu ambayo imeandikwa magonjwa mbalimbali yanayowapata bi...

bottom of page