Lenge
Lenge ni jeraha lililoinuka juu ya sakafu ya ngozi na lenye maji ndani yake na kipenyo chake huwa chini ya sentimita 0.5. Huweza kuanzia kwenye sakafu ya ngozi au chini ya ngozi