top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Namna gani ya kufahamu tarehe ya mkadilio ya kujifungua?


26 Views

Tarehe ya makadirio ya kujifungua huhesabiwa toka siku ya kwanza kuanza kuona damu ya mwisho. Ili kufahamu tarehe yako ya kujifungua na umri wa ujauzito ni lazima ukumbuke tarehe hiyo. Na kama hukumbuki kuna njia nyingine ya kupiga picha (ultrosound). Bonyeza hapa kutumia kikokoteo cha kufahamu tarehe yako ya kujifungua na umri wa ujauzito

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page