top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Kidonda cha upasuaji kutoa usaha

Swali:

Daktari: Naomba kufahamu sababu ya kidonda cha upasuaji kutoa usaha na matibabu yake:


Majibu

Kidonda cha upasuaji kutoa usaha ni dalili ya maambukizi katika kidonda. Mara nyingi dalili hii ikionekana unapaswa kuwasiliana na daktari wako kwa uchunguzi na tiba.


Wapi unaweza kupata maelezo ya utunzaji wa kidonda cha upasuaji?

Baadhi ya mambo unayoweza kufanya kwa kidonda cha upasuaji yameandikwa katika makala ya namna ya kutunza kidonda cha upasuaji nyumbani. Soma maelezo zaidi katika makala hii.

71 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page