top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Madhara ya utoaji mimba mara kwa mara|ULY CLINIC

Unaweza kutuelimisha kuhusu magonjwa na madhara ya utoaji mimba zaidi ya mara mbili na Tiba zake??


Utoaji mimba katika makala hii inamaanisha mimba iliyotoka kwa kupanga, inaweza kuwa kwa njia ya dawa au upasuaji kupitia tundu la uzazi.

Kiujumla, utoaji mimba wa kupanga unaonekana kutohusiana sana na madhara ya ujauzito zijazo hapo mbeleni. Hata hivyo tafiti zinaonyesha kuwa kuna mahusiano kati ya kutoa mimba na kupata mtoto njiti au kujifungua kabla ya umri wa ujauzito kutimia kwa mimba itakayofuata baada ya kutoa mimba. 


Soma zaidi kuhusu makalahii kwa kubonyeza hapa

21 Views

Utoaji mimba katika makala hii inamaanisha mimba iliyotoka kwa kupanga, inaweza kuwa kwa njia ya dawa au upasuaji kupitia tundu la uzazi.

Kiujumla, utoaji mimba wa kupanga unaonekana kutohusiana sana na madhara ya mbeleni. Hata hivyo tafiti zinaonyesha kuwa kuna mahusiano kati ya kutoa mimba na kupata mtoto njiti na kujifungua kabla ya umri wa ujauzito kutimia kwa mimba itakayofuata. madhara yanaweza kutokea kwenye ujauzito zinazofuata.

Kihatarishi kinategemea njia ya utoaji mimba iliyotumika, njia ambazo zinatumika ni kutumia dawa, au njia ya upasuaji. Kila njia inatumika kulingana na umri wa mimba na aina ya mgonjwa.


Yapo madhara mbalimbali yanayoweza kujitokeza. bonyeza hapa kuendelea kusoma zaidi

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page