top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Kujifungua ni wiki ngapi?

  • Je ni wiki ngapi zinatakiwa kupita ili nijifungue?

  • Inachukua wiki ngapi za ujauzito ili kujifungua mtoto kamili?

  • Kujifungua ni siku ngapi za ujauzito?

  • Wiki ya kujifungua

  • Wiki ya kujifungua mtoto wa kiume

  • Wiki ya kuzaa mtoto


Video inayofuata ina maelezo kuhusu kujifungua ni wiki ngapi.



Mambo mengine unayopaswa kufahamu baada ya kujifungua

Baada ya kujifungua unaweza kupata mimba nyingine mara moja, hivyo utapaswa kutumia kinga ili kuzuia mimba. Linki ifuatayo ina video zinazoainisha siku za hatari kulingana na mzunguko wako wa hedhi. Bofya kiungo cha makala husika hapa chini ili kufahamu ni lini unaweza kushika ujauzito hivyo ujikinge.


18564 Views

Mwanamke aliyepata period kwa wiki 3 je alafu akabeba mimba anaweza akajifungua hyo tarehe ya makadirio au anaweza akapitiliza

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page