top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Siku za kushika mimba- Mzunguko wa siku 21

Ukurasa huu utakuwa na video mbalimbali zinazoonyesha siku ya kushika mimba na namna ya kushika mimba katika mzunguko wa hedhi wa siku 21 tu. Fuatilia kwa uendelevu kwani kila mwezi kutakuwa na video mpya inayoonyesha tarehe za kujamiana pasipo kinga ili kushika mimba.


Kupata ujauzito wakati wa hedhi

Katika mzunguko wa siku 21, kama mwanamke atashiriki ngono pasipo kinga wakati wa hedhi atapata ujauzito. Na endapo mwanamke ataona damu ya hedhi kwa zaidi ya siku 6 na asishiriki ngono kipindi hiki, uwezekano wa kupata ujauzito hupungua na kuisha kwa kuwa siku ya uovuleshaji(utotoaji yai) iliyo ndani ya kipindi hiki cha kuona damu itakuwa imeshapita.


Tarehe ya kushika mimba mwezi Februari 2025 Mzunguko wa siku 21




Tarehe ya kushika mimba mwezi Januari 2025 Mzunguko wa siku 21



Tarehe za kushika mimba Novemba 2024- Mzunguko wa siku 21




Tarehe ya kushika mimba mwezi Disemba 2024 kwa mzunguko wa siku 21



Maelezo ya mizunguko mingine mbali na mzunguko wa siku 21

Jifunze kuhusu tarehe za kushika mimba kwenye mizunguko mingine kwa kubofya mzunguko halisi


Wapi utapata maelezo zaidi ya mizunguko mingine?

Je mzunguko wako haupo kwenye mizunguko iliyoorodheshwa? Wasiliana na daktari wako au uliza kwa madaktari wetu. Toa pendekezo la mzunguko wako kuwa unatolewa maelezo kwenye sanduku la maoni au kiboksi cha ujumbe kulia.


140 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page