top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Nini cha kufanya endapo unatapika nyongo wakati wa ujauzito?

Swali: Mke wangu ana tatizo la kutapika nyongo. Pia hawezi kunywa maji, akinywa tu anatapika hapo hapo naomba ushauri wako na je atumie dawa gani?


Kuna mambo mbalimbali unayoweza kufanya endapo unatapika nyongo ambayo yameelezewa mwishoni mwa video inayofuata.



Kufahamu kuhusu visababishi na maelezo ya ziada kuhusu kutapika nyogno bofy hapa.

7 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page