top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Mwisho wa period tarehe 6 mwezi wa kwanza 1 mwaka 2021 je mimba ina muda gani?


34 Views

Kwa sali hili la namna ya kufahamu umri wa ujauzito, au kufahamu umri wa mimba, kufahamu umri wa mtoto tumboni


Tafadhali ingia kwenye maelezo zaidi ya kikokoteo kilichopo kwenye linki inayofuata.


Bofya kuingia kwenye kikokoteo https://www.ulyclinic.com/tarehe-ya-kujifungua


Unakaribishwa siku zote kwa maswali na majibu kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page