top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Kinyesi chenye harufu kali


112 Views

Ni nini husabbaisha kujisaidia kinyesi chenye harufu kali?


Naomba kutoa utangulizi sehemu hii kisha bonyeza linki kusoma makala hii zaidi


Haja kubwa au kinyesi kwa kawaida huwa na harufu isiyopendeza watu wengi na wakati mwingine baadhi ya watu hukataa kabisa kuangalia kinyesi kwa sababu huweza kupata kichefuchefu au kutapia. Licha ya kuwa na harufu mbaya, kinyesi kinaweza kuwa na harufu mbaya zaidi ya ile ambayo umeizoea. Makala hii imezungumzia sababu za kitaalamu za kupata kinyesi chenye harufu mbaya. Endelea kusoma kwa kubonyeza hapa

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page