top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Siku za hatari kwa mwanamke

Siku za hatari kwa mwanamke hutegemea idadi ya siku katika mzunguko wa hedhi. Wanawake wengi huwa na mzunguko wa hedhi wa wastani wa siku 29 badala ya 28 kama wengi walivyokalili. Hata hivyo tafiti zinaonyesha mzunguko wa hedhi kwa wanawake wengi huangukia ndani ya siku 21 hadi 45. mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 au chini huwa na mzunguko mfupi na huingia hedhi mara nyingi zaidi ya mwanamke mwenye mzunguko wa siku 45 au zaidi. Kuwa na mzunguko wa hedhi mrefu au mfupi sio tatizo kama hakuna tatizo katika mwili wako.


Mada katika makala hii inaelezea siku za hatari kwa wanawake wenye mzunguko wa siu 21, 25, 28, 29, 30, 32, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 42 na 44. Angalia video mwanzo hadi mwisho kwa uelewa.


Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 25




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28









Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 30




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 32




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 34




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 35



Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 36




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 37




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 38




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 39




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 40




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 42




Siku za hatari kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 44




Je kama video ya idadi ya mzunguko wangu hauipo nifanya

Tunathamini kila mtu na mzunguko wake, hata hivyo si rahisi kutengeneza video za mizunguko yote, hata hivyo kama video ya siku za hatari kwa mzunguko wa idadi ya siku zako haipo hapa, toa maoni kupitia video yoyote youtube kwenye kiboksi cha comments ili kutengenezewa video hiyo kwa ajili yako. Karibu


Wapi unaweza kujifunza zaidi?

Jifunze zaidi kuhusu idadi ya siku katika mzunguko wa hedhi kwenye makala nyingine ya mzunguko wa hedhi


62 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page