Mapigo ya moyo kupiga haraka na kwa nguvu kwa mtoto shida ni nini?
Aksanten naitwa ...... nipo ...... nna mtoto wang wa miaka 14 Ana shida ya mapigo yake moyo kupiga kwa nguvu Sana (kasi) ambyao si kawaida hali hiyo inamtokea mara mara na ikitokea hivo baada ya muda yanakaa tena vizuri. Naombeni mnisaidie jaman shida inaweza kuwa nini???
26 Views