top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Mtoto kutocheza tumboni kwa wakati

Swali lililulizwa "Habari Dr mke wangu katimiza wiki ya 21 na n mtoto wa pili na mtoto hajaanza kucheza Kuna tatizo?"


Majibu


Baadhi ya wamama wanaweza kuchelewa kupatahisia za mtoto kuchheza au kutofahamu hisia za mtoto kucheza zipoje na hivyo kudhani kuwa mtoto hachezi.


Jambo la msingi kufahamu ni kwamba, kama umetimiza wiki ya 20 na hupati hisia na unawasiwasi, nenda kafanye kipimo cha kuangalia kama mtoto anakuwa vema chenye jina la ultrosound.


Maelezo zaidi


Kwa maeelezo zaidi kuhusu kucheza kwa mtoto tumboni bofya linki zifuatazo

  1. Video vya kucheza kwa mtoto tumboni https://youtu.be/i9yiOA1-21c

  2. Maelezo ya hisia za kucheza kwa mtoto tumboni https://www.ulyclinic.com/vidokezo-vya-kiafya/hisia-za-mtoto-kucheza-tumboni


62 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page