top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Ugonjwa wa PID

Ugonjwa wa PID mara nyingi husababishwa na maambukizi ya vimelea vya magonjwa ya zinaa. Mgonjwa wa PID mara nyingi huwa haonyeshi dalili hata ila zikitokea huwa pamoja na maumivu makali ya tumbo la chini, kutokwa na majimaji yasiyo kawaida ukeni na kubadilika kwa hedhi na ugumba. Tazama video hii kujiunza zaidi kuhusu ugonjwa huu.

Unaweza pata maelezo zaidi pia kwenye makala inayohusu PID.


Asante kwa utazama

53 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page