top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Inachukua muda gani kupona gono?

Inachukua muda gani kupona gono baada ya kuanza kutumia dawa?

1139 Views

Nawashwa mwili pumbu na nikijikuna nasikia raha mnoo ila bdae navimba na inajitokeza vipele vikubwa vilivyo vilia damu hali hii imeanza ktk sehem za Siri ad xaxa ivi mwli mzima unawasha nitumie dawa ipi na je Kama nitakuwa na fangasi naweza kufnya sex uku upo dozi ya fangasi ttz Lina mwez 1 xaxa

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page