top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Unahisi kifua kinawaka moto flani halafu kinakaza kama kina donge flan au kitu kukaaa nini tatizo?


76 Views

Kubana kwa kifua huwa ni ishara ya hali na magonjwa mbalimbali, baadhi ya magonjwa huwa ya hatari Zaidi, mfano magonjwa ya moyo na mapafu na baadhi huwa si ya hatari Zaidi. Kifua kubana au kupata maumivu ya kifua haimaanishi moja kwa moja kwamba kuna shida kwenye mapafu, bali inamaanisha kuna tatizo lolote linaloweza kutokea kwenye mfumo wowote ndani ya mwili. Pamoja na dalili ya kifua kubana, kuna dalili zingine zinazoweza kuambatana na zikapelekea daktari wako kujua ni nini hasa chanzo cha maumivu ya kifua au kifua kubana


Soma zaidi makala hii kw akubonyeza hapa, au wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa namba za simu chini ya tovuti hii kwa elimu ushauri na tiba.

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page