top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Nifanyaje nipungue, Nitumie Nini? | ULY CLINIC


9 Views

Hili ni swali ambalo wateja wengi wamekuwa wakiliuliza moja kwa moja kwenye tovuti hii.


Kiukweli endapo mtu anataka kupungua kuna mambo mengi yanatakiwa kufahamika, mfano ni aina gani ya chakula unachokula, unatatizo lolote lile la kiafya, unataka kupungua kilo ngapi kwa siku au wiki? unapenda kupunguza kilo ngapi na unakilo ngapi kwa sasa? Ili kuweza kuweza kupata majibu ya haraka na ushauri ni vema ukawasiliana nasi moja kwa moja kwa ushauri huo kupitia namba za simu +255621122578 au barua pepe yetu info@ulyclinic.com. Kwa msaada zaidi pia kufahamu vitu vingine kabla ya ushauri bonyeza hapa kusoma zadi kuhusu namna ya kupunguza uzito.

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page