top of page

Majadiliano na Wataalamu

Public·804 members

Ukubwa wa mimba ya miezi mitatu

Mimba ya miezi mitatu mara nyingi huwa haionekani kwa nnje. Mtoto tumboni huwa na urefu wa sentimita 2.3 sawa na ukubwa wa zabibu na uzito wa gramu 2 tu.



Wapi utapata maelezo zaidi?

Pata maelezo zaidi kwa kuwasiliana na daktari wako au kutembelea makala ya mimba ya miezi mitatu.

11 Views

Kuhusu kundi

Uliza swali pamoja na kusoma majibu ya maswali yaliyoulizwa,...

bottom of page